Matthew 11:12-13

12 aTangu siku za Yahya Mbatizaji hadi sasa, Ufalme wa Mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wanauteka. 13 bKwa maana manabii wote na Torati walitabiri mpaka wakati wa Yahya.
Copyright information for SwhKC